Mwenyekiti
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya nchi za Jumuiya uchumi na maendeleo
ya Kusini (SADC) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais
Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini ili kushiriki kikao cha kamati
hiyo.Pembeni ni Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao.
Mwenyekiti
wa Kamati ya ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete(watatu kushoto) akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichofanyika
ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni
Rais Wa Namibia Hifikepunye Pohamba, Rais Jackob Zuma wa Afrika ya
kusini(kulia) na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao
Mwenyekiti
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(
Wanne Kushoto) akiwa na viongozi SADC waliopo katika kamati
hiyo.Wengine katika picha ni Rais Wa Afrika ya Kusini Jackob Zuma(Watatu
kushoto), Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia(kulia),Rais Mstaafu wa
Msumbiji ambaye pia ni msuluhishi wa SADC kwenye mgogoro wa Madagaska,
Joachim Chissano(wapili kushoto) na kushoto ni Katibu mkuu wa SADC
Dkt.Tomaz Salomao
No comments:
Post a Comment