Baadhi
ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambaji mapema leo katika eneo la
Kariakoo,jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa
hospitali kwa Matibabu.kwa mujibu wa Ripota wetu ni kuwa Baadhi ya
Majambazi hao wamekamatwa na wapo kwenye kituo cha Polisi Msimbazi
Kariakoo.Majambazi hao wameuwa watu wawili kwa risasi.
No comments:
Post a Comment